SIMBA msimu wa 2024/25 kwenye karata za usajili imeingia kwenye matatizo hasa kwa wachezaji wa ndani kutokana na wachezaji wengi kuwa na malalamiko kutoka kwenye timu zao ambazo walikuwa wakicheza. Kuna Awesu Awesu ambaye alikuwa anakipiga ndani ya KMC, Lameck Lawi kutoka Coastal Union. Haiajwa kwenye ubora ndani ya Simba hasa ukizingatia ni miongoni mwa timu ambazo zinafuatiliwa kwa ukaribu kitaifa na kimataifa.