AL AHLY YAKWEA KILELENI MWA MSIMAMO WA LIGI KUU NCHINI MISRI

Klabu ya Al Ahly imekwea kileleni mwa msimamo wa Ligi Kuu Nchini Misri kufuatia ushindi mwembamba wa 1-0 dhidi ya Al Masry huku waliokuwa vinara, Pyramids wakilazimishwa sare ya 1-1 dhidi ya Zamalek.

FT: Al Masry 0-1 Al Ahly
⚽ Wessam Abou Ali 62’

FT: Zamalek 1-1 Pyramids
⚽ Mostafa Shalaby 36’
⚽ Fagrie Lakay (P) 74’

MSIMAMO:

1. Al Ahly — mechi 27 — Pointi 69

2. Pyramids — mechi 30 — Pointi 69