AMEFUNGUKA HAYA RAIS KARIA KUHUSU TIMU AMBAZO HAZIJASHIRIKI CECAFA

RAIS wa CECAFA Wallace Karia ameweka wazi kuwa kuna timu ambazo hazijashiriki mashindano ya CECAFA ambayo yamekuwa na ushindani mkubwa hilo wanalitambua kwa kuwa lipo wazi na sababu znajulikana. Karia ameongeza kwa kuweka wazi kuwa ushindani umezidi kuwa mkubwa na mashindano yamekuwa na mvuto.