UONGOZI wa Simba umefungukia kuhusu wachezaji wake ikiwa ni pamoja na Aishi Manula ambaye ni kipa namba moja wa Simba, Babaccar Sarri kiungo mgumu Sadio Kanoute ambao hawapo kwenye msafara ulioibukia Misri kwa maandalizi ya kambi kuelekea msimu wa 2024/25.