Klabu ya Simba Sc imethibitisha kukamilisha usajili kiungo mshambuliaji Ahoua Jean Charles raia wa Ivory Coastkwa mkataba wa miaka miwili.
Ahoua mwenye umri wa miaka 22 ametokea Stella Club d’Adjamé ya nchini kwao Ivory Coast huku akiwa ndiye MVP wa 2023/2024.