SMS ya MWISHO ya MANJI KWA SALEH JEMBE – ”ALINIAMBIA ANAAMINI YANGA ILIPOFIKA NI SABABU YAKE”…

Mchambuzi nguli wa habari za michezo, Saleh Ally Jembe amemzungumzia marehemu Yusuph Manji kuwa alikuwa na mchango mkubwa kwa Klabu ya Yanga na mafanikio ambayo klabu hiyo imeyapata yalianzia kwa Manji.