MANCHESTER UNITED NA CHELSEA ZIMEIBUKA NA USHINDI EPL

Manchester United na Chelsea zimeibuka na ushindi kwenye mechi zao huku Chelsea ikisogea mpaka nafasi ya sita kufuatia ushindi huo wakati Manchester United ikiendelea kusalia nafasi ya 8 kwenye msimamo wa Ligi Kuu England.

FT: Man United 3-2 Newcastle United
⚽ Mainoo 31’
⚽ Diallo 57’
⚽ Højlund 84’
⚽ Gordon 49’
⚽ Hall 90+2’

Brighton 1-2 Chelsea
⚽ Welbeck 90+7’
⚽ Palmer 34’
⚽ Nkunku 64’