VIDEO: SAKATA LA CHAMA KUFUNGIWA TAMKO LA SIMBA HILI HAPA

KIUNGO wa Simba Clatous Chama ataukosa mchezo wa Ligi Kuu Bara dhidi ya Mtibwa Sugar unaotarajiwa kuchezwa Uwanja wa Azam Complex kutokana na adhabu ya kufungiwa mechi tatu kwa kosa la kumchezea faulo nyota wa Yanga, Nickson Kibabage kwenye Kariakoo Dabi. Juma Mgunda, Kocha Mkuu wa Simba alipoulizwa kuhusu kumksa Chama alibainisha kuwa wapo wachezaji wengine ambao watacheza.