>

Super Heli Kasino Zawadi na Ushindi Kila Ukicheza

Unaambiwa hivi ukiwa na Meridianbet suala la kukosa hela ni kuamua wewe tu,   lakini kupitia michezo ya kasino ya mtandaoni kibao unaweza kuingiza pesa ndefu sana kila siku. Kuna huu mchezo unaitwa Super Heli kasino unakupa ushinndi mkubwa na zawadi kibao kama vile TV, Simu Janja na Bonasi za kasino  kama zote.

 

Mtoa huduma wa michezo ya kasino ya mtandaoni kampuni ya Expanse Studios, wamekuletea kiganjani kwako kasino ya Super Heli kasino ikiwa na zawadi kibao ukicheza leo unaweza kuibuka na TV inch 55, Smartphone kibao, bonasi za kasino kibao, na beti za bure zenye thamani mpaka ya 200,000/= TZS.

Super Heli Kasino ya Mtandaoni ni Nini?.

Super Heli ni mchezo wa Kasino ya Mtandaoni wenye mengi ya kufurahisha na kuburudisha, muonekano wenye rangi nzuri, unakupa fursa ya kushinda kwa dau dogo kuanzia 100 TZS hadi 10000 TZS. JISAJILI MERIDIANBET kufurahia uhondo wa mchezo huu.

Zawadi na Ushindi.

Super Heli mchezo wa kasino ya mtandaoni uliopo MERIDIANBET. Katika mchezo huu, utapata bonasi kubwa. Kuna malipo ya pesa taslimu papo hapo, na hata mizunguko ya bure.

Wakati unaanza kucheza mchezo huu utaweka dau lako, kisha unabonyeza kitufe cha kurusha Helikopta kisha itaanza kuhesabu ODDS, kadri inavyozidi kupaa ndiyo ambavyo unajiongezea maokoto mengi, ili kushinda kiwango kikubwa unatakiwa kucheza dau kubwa na kusubiri Odds ziwe nyingi na ukatishe safari yako.

 

Wachezaji bora wakati wa promosheni ya Super Heli watapokea zawadi zifuatazo kutoka Meridianbet:

 

        Nafasi ya 1 – Samsung TV inchi 55.
        Nafasi ya 2 – Samsung A24.
        Nafasi ya 3 na ya 4 – TZS 200,000 beti za bure.
        Nafasi ya 5-6 – TZS 100,000 beti za bure.
        Nafasi ya 7-10 – TZS 50,000 beti za bure.

NB: Jisajili na Meridianbet na cheza michezo ya kasino ya mtandaoni upate ushindi kirahisi, Pia ongeza maokoto yako kwa kubashiri michezo mbalimbali yenye ODDS KUBWA

. PIGA *149*10# AU tembelea tovuti yao meridianbet.co.tz