MSANII WA VICHEKESHO MJEGEJE AFARIKI

Msanii wa vichekesho Umar lahbedi Issa almaarufu la Mzee wa Mjegeje amefariki dunia leo alfajiri katika Hospitali ya Mwananyamala alipokuwa akipatiwa matibabu.

Meneja wa msanii huyo amethibitisha taarifa za kifo hicho huku chanzo cha kifo chake kikitajwa kuwa alikuwa anaumwa maradhi ambayo hayajawekwa wazi.