BAADA ya droo ya Ligi ya Mabingwa kuchezwa huku Simba ikiwa na kazi ya kusaka ushindi dhidi ya Al Ahly Mzaramo wa Simba amebainisha kuwa Al Ahly ni timu ngumu lakini wanaamini watapata matokeo huku akizungumza kuhusu Mamelod Sundowns ya Afrika Kusini kupangiwa na Yanga