YANGA 1-0 GEITA GOLD, AZAM COMPLEX

FT:Ligi Kuu Bara

Azam Complex

Yanga 1-0 Geita Gold

Goal Aziz KI dakika ya 28

Bao moja ambalo amefunga linamfanya afikishe mabao 13 ndani ya Ligi Kuu Bara Aziz KI baada ya kufunga bao moja kwenye mchezo dhidi ya Geita Gold.

Yanga ambao ni vinara wa ligi wamefikisha pointi 52 kwenye msimamo mchezo ujao ni dhidi ya Azam FC Machi 17.

Dakika 45 Geita Gold wameshuhudia bao moja likifungwa kwenye mchezo ambao una ushindani mkubwa na matumizi makubwa ya nguvu.

Kipindi cha pili hakua timu ambayo ilipata bao ikiwa ni ngoma nzito kwa timu zote uwanjani.