ANAYEFUATA KUKUTANA NA YANGA KUKUTANA NA KITU KIZITO

UONGOZI wa Yanga umeweka wazi kuwa kasi ambayo wanaendelea nayo ndani ya Ligi Kuu Bara mpinzani wao anayefuata atakutana na kitu kizito kutokana na mipango waliyonayo. Ikumbukwe kwamba Yanga ni vinara wa ligi wakiwa na pointi 49 kibindoni baada ya kucheza mechi 18Machi 14 inatarajiwa kusaka pointi tatu dhidi ya Geita Gold,Uwanja wa Azam Complex