KIKOSI CHA SIMBA DHIDI YA TANZANIA PRISONS

MACHI 6 2024 kikosi cha Simba kina kazi ya kusaka pointi tatu dhidi ya Tanzania Prisons mchezo utakaochezwa Uwanja wa Jamhuri, Morogoro.

Aishi Manula, Shomari Kapombe, Israel Kwenda, Henock Inonga, Kennedy Musonda, Babacar Sarr, Mzamiru Yassin, Fabrice Ngoma, Freddy Michael, Clatous Çhama na Kibu Dennis.

Benchi ni Ayoub Lakred, Zimbwe, Duchu, Kazi, Hamish, Ntibanzokiza, Chasambi, Balua, Jobe.

Huu ni mchezo wa mzunguko wa pili kwa kikosi cha Simba kwenye msako wa pointi tatu muhimu.