JIBWEDE NA MKWANJA WA MECHI ZA EUROPA LEO

Mambo vipi mteja wa meridianbet? Je unajua kuwa hapa ndio sehemu sahihi za wewe kusuka jamvi lako na kuanza kubashiri mechi zako kwa ODDS KUBWA na machaguo mengi zaidi?. Leo AC Milan, AS Roma, Benfica wote hao na wengine uwanjani unakosaje pesa sasa?

Tukianza na mechi ya Benfica Lisbon dhidi ya Toulouse FC, kwanza mechi hii imepewa ODDS KUBWA kabisa pale meridianbet yani ni 1.33 kwa 8.62 yani hapa unaamua wewe unaenda Ureno au unaenda Ufaransa kutokana na viwango vya timu hizi kwenye ligi zao lakini pia ikumbukwe hizi ni mechi za mtoano. Suka jamvi lako hapa nani kuhsinda leo?

AC Milan chini za kocha mkuu Pioli, leo hii watakuwa pale San Siro kukiwasha dhidi ya Stade Rennes za Ufaransa. Ukumbukwe kuwa Milan waliangukia EUROPA baada ya kuitokikidhi vigezo vya kuwa Ligi ya mabingwa. Je wanaweza kushinda leo hii pale kwao?. Mechi hii ina machaguo zaidi ya 1000 meridianbet bashiri sasa.

RC Lens watakuwa wenyeji wa SC Freiburg kutoka kule Ujerumani huku nafasi kubwa ya kuondoka na pointi tatu akipewa Mfaransa akiwa na ODDS 1.76 kwa 4.60. Je nani ataondoka na ushindi hii leo?.  Tengeneza mkeka wako haraka na meridianbet.

Vile vile Meridianbet wanakukumbusha kucheza michezo ya Kasino ya Mtandaoni ambayo inatolewa ndani ya meridianbet kama vile Poker, Roullette, Aviator, Rockertman, Keno, Sloti na mingine kibao. Ingia mchezoni na ucheze sasa.

Huku AS Roma kutoka kule Italia itakuwa ugenini dhidi ya Feyenoord ambao wanapigiwa upatu kushinda mechi hii pale meridianbet wakiwa na ODDS 2.11 kwa 3.38. Mechi hiyo itapigwa katika dimba la De Kuip huku mara ya mwisho kukutana, Roma alishinda mechi hiyo. Je leo hii mwenyeji kulipa kisasi?. Suka mkeka wako hapa.

Nao Galatasaray Instanbul baada ya kutolewa kwenye ligi ya mabingwa na kuangukia kwenye ligi ya EUROPA, leo hii atakuwa mwenyeji wa Spart Prague kwenye mechi za kwanza za mtoano huku ushindi akipewa mwenyeji kwa ODDS 1.64 kwa 5.09. Je nani kushind amechi hii leo. Jisajili ubeti sasa.

Nao FC Shakhtar Donetsk watakipiga dhidi ya Olympique Marseille kutoka kule Ufaransa. Wawili hawa walipokutana mara ya mwisho mwenyeji alioshinda mechi zote mbili. Je leo hii nani kuondoka na ubabe?. Mechi hii imepewa ODDS 3.23 kwa 2.20. Tengeneza jamvi lako sasa.

Young Boys Bern kutoka Uswizi atamenyana dhidi ya Sporting Lisbon ya Ureno huku timu hizi mara ya mwisho kukutana, ilikuwa kwenye mechi ya kirafiki ambapo Sporting alishinda. Na meridianbet wamempa tena leo hii mgeni kushinda kwa ODDS 1.73 kwa 4.31. Wewe beti yako unaiweka wapi leo?