UEFA kupigwa leo hii kwa mechi mbili kali kwelikweli huku kuna City na Copenhagen na kule kuna Real Madrid dhidi za RB Leipzig nani kuanza vyema kwenye hatua ya 16 bora leo mechi za kwanza?. Tupia mkeka wako pale meridianbet na ujiweke kwenye nafasi za kuwa Milionea.
Pep Guardiola Machester City watakuwa ugenini kumenyana dhidi za FC Copenhagen huku Meridianbet wao wakimpa nafasi kubwa za ushindi City kwa ODDS za 1.22 kwa 11.76. Timu hizi mbili zilikutana tena msimu uliopita ambapo mechi za kwanza Copenhagen alipoteza kwa mabao mengi huku mechi za pili wakisuluhu.
The Citizen ndio mabingwa watetezi wa kombe hili wakilichukua kwa mara za kwanza. Huku kwa upande wa timu mwenyeji yeye hajawahi kuchukua kombe hili hata mara moja. Je leo hii katika dimba lake la nyumbani la Parken atafanya nini?. Je Pep Guardiola ambaye yupo nafasi za pili kwenye ligi kuu za EPL atashinda au mwenyeji atamzuia?. Jisajili ubeti hapa.
Vile vile Meridianbet wanakukumbusha kucheza michezo ya Kasino ya Mtandaoni ambayo inatolewa ndani ya meridianbet kama vile Poker, Roullette, Aviator, Rockertman, Keno, Sloti na mingine kibao. Ingia mchezoni na ucheze sasa.
Mechi kali sasa leo hii za Ligi ya Mabingwa Ulaya itakuwa ni kati ya Rb Leipzig dhidi za Real Madrid ambao ndio mabingwa mara nyingi wa kombe hili wakiwa wamelichukua mara 14. Meridianbet wanampendelea zaidi Carlo Ancellotti na vijana wake kushinda mechi hii kwa ODDS 2.30 kwa 2.79.
Mechi hiyo itapigwa saa 5:00 katika dimba la Red Bull Arena huku msimu uliopita walipokuta, kila timu ilishinda nyumbani kwake. Je leo hii Real atalipa kisasi nyumbani kwa RB? Na je vipi Leipzig atakubali pointi tatu ziondoke kwenda Bernabeu?.
RB kwenye Bundesliga yupo nafasi ya 5 baada ya kutoa sare mchezo wake uliopita, huku Madrid akiwa kinara wa Laliga baada za kutoa dozi nzito kwenye mechi yake iliyopita. Wewe beti yako unaiweka wapi kati za timu hizi mbili?
Suka mkeka wako kwenye mechi hizi za UEFA, kwani ODDS KUBWA, Machaguo zaidi za 1000 yapo huku lakini vile vile Turbo Cash pia ipo. Unasubiri nini sasa? Ingia meridianbet na ubashiri sasa.