SportsKIUNGO WAKAZI AMESHUSHA PRESHA SIMBA Saleh10 months ago01 mins KIUNGO wa kazi amerejea ndani ya Simba na kushusha presha kwenye eneo hilo ambalo analifanyia kazi. Ni Fabrince Ngoma chaguo la kwanza la Kocha Mkuu Abdelhak Benchikha yupo na kikosi kamili kwa ajili ya kuendelea na majukumu yake Post navigation Previous: JE NI NIGERIA AU IVORY COAST FEBRUARI 11 AFCON?Next: HII HAPA REKODI RAUNDI YA 8 SI MCHEZO