Skip to content
KAZI bado ipo ndani ya Michuano ya Kombe la Mataifa Afrika, (AFCON) wababe watakuwa kusaka ushindi kutinga hatua ya fainali.
Unaukumbuka mchezo wa robo fainali ile ya kipa shujaa wa Afrika Kusini kàtika mikwaju ya penalti?
Ngoma itakuwa Nigeria dhidi ya Afrika Kusini halafu Ivory Coast wwnyeji dhidi ya DR Congo.
Dr Congo kuna Henock Inonga, Fiston Mayele hawa wanaitambia vema Ligi Kuu Tanzania Bara.
Inonga anacheza ndani ya kikosi cha Simba akiwa ni beki chaguo la kwanza na Mayele aliwahi kuwa ndani ya kikosi cha Yanga.