Jumatatu ya leo mechi 3 za AFCON zitapigwa na wewe kama mteja wa meridianbet huu ndio muda sahihi wa kusuka jamvi lako kwani mechi ya mapema inaanza muda mchache ujao hivyo weka pesa yako kwenye akaunti yako na utengeneze jamvi lako la maana leo.
Mechi nyingi za leo zina pesa sana hasa ukizingatia unaweza ukachagua machaguo zaidi ya moja unaweza kubeti magoli, kona na mengine mengi. Mtanange huu wa Cameroon dhidi ya Guinea unataka kukutajirisha. Na mechi hizi zimepewa ODDS 2.16 kwa 3.92. Je nani ataanza michuano hii vizuri? Jisajili na ubeti mechi hii sasa.
Vilevile, huku ukiendelea kubeti mechi hizo za AFCON, kuna michezo ya Kasino ya Mtandaoni ambayo ipo kwaajili ya kukupatia pesa za fasta kama vile, Aviator, Poker, Roulette, Rocketman na Sloti. Weka pesa bashiri hapa.
Senegal atakiwasha dhidi ya Gambia ambao wamepewa ODDS 11.76 kwa 1.27 kushinda mechi hii. Ikumbukwe kuwa hii itakuwa ni mechi ambayo ina watazamaji wengi kutokana na ukubwa wa Senegal kwa kuwa wana wachezaji wengi sana ambao wanacheza vilabu vikubwa Ulaya akiwemo Sadio Mane, Diata na wengine wengi. Je vijana wa Aliou Cisses wataanzaje michuano hii?. Bashiri mechi hii na meridianbet.
Kundi D sio kitoto kabisa yani yani makundi yametengenezwa yakatengenezeka ambapo kutakuw ana kipute cha hadhi yake kati ya Algeria dhidi ya Angola. Huku watu wengi wakitaka kujua nini Riyad Mahrez na timu yake watafanya leo, wewe nenda Meridianbet beti mechi hii ambayo imepewa ODDS 1.55 kwa Algeria na 6.46 kwa Angola. Pesa ipo huku beti sasa.