KIKOSI CHA SIMBA DHIDI YA MLANDEGE FAINALI

 KIKOSI cha Simba ambacho kinatarajiwa kuanza mchezo wa fainali Kombe la Mapinduzi 2024 dhidi ya Mlandege kipo namna hii:-

Ayoub Lakred

Shomari Kapombe

Israel Mwenda

Kazi

Che Malone

Fabrince Ngoma

Luis Miquissone

Babacar Sarr

Moses Phiri

Saido Ntibanzokiza

Willy Onana

Akiba

Ally Salim

Abel

Duchu

Kennedy

Hamis

Karabaka

Chasambi

Baleke