KIGOGO Simba ameweka wazi kuwa bado wanaendelea na kufanya usajili ambapo kuna wachezaji wengine watatambulishwa pale usajili utakapokamilika. Ipo wazi kuwa tayari Simba imewatangaza wachezaji watatu na wote ni viungo ikiwa ni pamoja na Babacar Sarr, Saleh Karabaka na Chasambi.