INGIZO jipya ndani ya Simba limeongeza ugumu katika kikosi hicho ambapo kunakuwa na idadi ya wachezaji watatu kwenye eneo hilo ambalo lina kazi kubwa ikiwa ni Fabrince Ngoma, Mzamiru Yassin na Sadio Kanoute. Ni Bababacar Sarr yeye anatajwa kuongeza ugumu kwenye eneo hilo ndani ya Simba.