SportsISHU YA USAJILI WA SANKARA YANGA IPO HIVI Saleh12 months ago01 mins INAELEZWA kuwa Yanga ina mpango wa kuinasa saini ya nyota wa ASEC Mimosas Sankara Karamonko kwa ajili ya kuwa naye kwenye changamoto mpya lakini kuna sababu ambazo zinapelekea wapunguze kasi kwenye kuwania saini yake katika dirisha dogo. Post navigation Previous: WEKA KIGINGI, NIWEKE CHUMA, KARABAKA MITATU SIMBANext: OKRA KUANZA KAZI RASMI YANGA