NDANI ya Ligi Kuu Bara kuna makocha ambao waliomba kuondoka kwenye timu zao kwa kuandika barua na wengine walikutana na Thank You kutokana na kufikia makubaliano ya kusitisha mkataba na timu ambazo walikuwa wakizifundisha kisha maisha yakaendelea.
Ni msimu wa 2023/24 ambao umekuwa na matukio mengi yanayoendelea hapa tunakuletea baadhi ya makocha ambao walikutana na Thank You