Asec Mimosas inazidi kujichimbia kileleni mwa msimamo wa kundi B ikifikisha alama 10 baada ya mechi nne.
FT: Asec Mimosas ?? 3-0 ?? Jwaneng Galaxy
⚽ Avo 11’
⚽ Aka 80’
⚽ Sankara 90+1’
MSIMAMO KUNDI B BAADA YA RAUNDI 4.
1️⃣• ?? Asec (pointi 10)
2️⃣• ?? Simba SC (5)
3️⃣• ?? Jwaneng Galaxy (4)
4️⃣• ?? Wydad AC (3)
MATOKEO MENGINE
FT: Petro Atletico ?? 0-0 ?? Esperance
FT: Pyramids ?? 0-1 ?? Mamelodi Sundowns
⚽ Mokoena 17’