KWENYE anga la kimataifa Yangainayopeperusha bendera Ligi ya Mabingwa Afrika ina wachezaji waliopenya kikosi cha kwanza katika mechi mbili za Ligi ya Mabingwa Afrika na kukomba dakikazote 90 mwanzo mwisho.
Ikumbukwe kwamba leo Yanga ina kibarua cha kusaka pointi tatu dhidi ya Medeama ya Ghana huenda wakaanza kikosi cha kwanza.