WAKIWA na kibarua cha kusaka ushindi dhidi ya Wydad Casablanca ya Morocco Desemba 9 2023 mshambuliaji Jean Baleke amepewa onyo na Kocha Mkuu wa Simba Abdelhak Benchikha. Ikumbukwe kwamba Simba haijapata ushindi kwenye mechi zake zote mbili hatua ya makundi Ligi ya Mabingwa Afrika ikiwa na pointi mbili kibindoni.