VIDEO: AHMED ABDALLAH AWATAJA WACHEZAJI WALIOSAJILIWA NA YANGA

AHMED Abdallaha mchambuzi wa masuala ya mpira Bongo amezungumzia kuhusu ishu ya Yanga na usajili wao huku akibainisha kuhusu kuondoka kwa Fiston Mayele ndani ya kikosi cha Yanga. Mayele alikuwa ni mshambuliaji bora wa muda wote ndani ya kikosi cha Yanga kwa misimu miwili aliyokuwa ndani ya kikosi hicho ambapo kwa sasa amesepa akiwa kwenye changamoto mpya na Pyramids ya Misri.