MAMILIONI KIGANJANI MWAKO NA AVIATOR YA PARIMATCH

KAMPUNI ya michezo ya kubashiri Parimatch Tanzania imewataka wateja wake
kuchangamkia fursa za kuburudika kwa kucheza mchezo rahisi na mwepesi wa
Aviator ambao umeshika kasi kwa kupendwa na wadau wengi wa kubeti ndani ya Kasino ya Parimatch.

Hayo yamebainishwa na Ofisa Habari wa Parimatch, Ismael Mohamed wakati alipokuwa akizungumza jijini Dar es Salaam na kusema
kwamba kupitia tovuti yao ya Parimatch wataweza kufurahia kucheza na kushinda
michezo mingi ya sloti ikiwemo Aviator kwa dau dogo la kuanzia shilingi 200.

“Moja kati ya michezo rahisi kushinda mkwanja pale kwenye kasino ya mtandaoni mmoja wapo ni sloti ya aviator, sloti hii inatoa hela balaa unaanzaje kuikosa hii. Unaweza kukuza dau lako na kuvuna mamilion ya  hela kupitia
mizunguko yako michache tu kwa kucheza Aviator.

“Njoo ucheze Aviator ya Parimatch sasa kwani nawe pia unaweza kuwa mshindi kati ya wanaopatikana kila siku kwa kurusha ndege ya aviator kutoka Parimatch”, amesema Ismael.

Aidha, Ismael aliendelea kwa kusema kwamba “utofauti wa Aviator ya Parimatch unaanzia kwenye ubora wa mfumo wetu ambao unaendeshwa kisasa zaidi na kuwezesha kupata malipo kwa haraka zaidi sekunde chache tu mara tu unaposhinda na hakuna masuala ya kusubiria hadi kukuche asubuhi”.

Pamoja na hayo, Ismael aliwasisitizia wadau wa Parimatch kuendelea kufurahia kucheza Virtual games na michezo mingine mbalimbali kupitia tovuti yao ambayo itaweza kuwaburudisha na kusisimua katika kipindi hiki cha mapumziko ya ligi mbalimbali ulimwenguni kutokana na michezo ya kimataifa.

Kampuni ya Parimatch ndio kinara wa michezo ya kubashiri mtandaoni na imekuwa ikitoa ofa kubwa ya bonasi ya Ukaribisho ya 125% hadi kufikia TZs 1,000,000 kwa wateja wapya wanaojiunga nao!

Parimatch imekuwa ikifanya kazi nchini Tanzania tangu mwaka 2019, ikitoa
huduma nzuri ikijumuisha malipo ya haraka, odds kubwa na promosheni za kusisimua kwenye soka, Kasino na Michezo ya virtual.

Mbali na soka, kampuni ya Parimatch pia hutoa mamia ya matukio kila siku kwenye tenisi, UFC, mpira wa vikapu, Kriketi, baseball na michezo mingine mingi ya Live na pre-match.