HAWA HAPA WACHEZAJI STARS KUIFUATA SUDAN,KIKOSI KAMILI

WACHEZAJI wa Timu ya Taifa ya Tanzania, Taifa Stars leo wameianza safari kuelekea Saudi Arabia kwa ajili ya mchezo wa kirafiki dhidi ya Sudan.

Chini ya Kocha Mkuu, Adel Amrouche Stars inatarajia kutupa kete yake Oktoba 15,2023.

Miongoni mwa wachezaji waliopo kàtika msafara huo ni Bakari Mwamnyeto, Beno Kakolanya, Metacha Mnata, Ally Salim, Israel Patrick Mwenda, Abduldrazack Hamza, Nickson Kibabage, Ibrahim Bacca, Dickson Job.

Wachezaji wengine ambao wameitwa katika kikosi cha Stars ni pamoja na
Abdulmalik Adam, Sospeter Bajana, Kibu Dennis.

Mzamiru Yassin, Baraka Majogoro, Mudhathir Yahya, Abdi Banda, Novatus Dismas, George Mpole, Said Khamis, Nassoro Saadun, Clement Mzize, Morice Abraham, Ben Anthony, Simon Msuva, Mbwana Samatta