MTIBWA SUGAR 2-3 SIMBA

MCHEZO wa ufunguzi wenye ushindani mkubwa unachezwa Agosti 17, Uwanja wa Manungu.

Mtibwa Sugar wakiwa ugenini ni mchezo wa Ligi Kuu Bara inashuhudia dakika 45 ikiwa mbele kwa mabao matatu.

Ikumbukwe kwamba mabingwa watetezi wa ligi ni Yanga chini ya Miguel Gamond.

Ubao wa Uwanja wa Manungu unasoma Mtibwa Sugar 2-3 Simba.

Mabao mawili ya Mtibwa Sugar yamefungwa ndani ya dakika mbili na Matheo Anthony dakika ya 20 na 22.

Simba bao la kuongoza ni dakika ya 5 Jean Baleke bao la pili Willy Onana dakika ya 9 la tatu ni Fabrice Ngoma dakika ya 44.