KIKOSI CHA SIMBA DHIDI YA YANGA FAINALI NGAO YA JAMII

NI fainali ya Ngao ya Jamii, Tanga ikiwa ni mchezo wa Kariakoo ndani ya Tanga kati ya Yanga dhidi ya Simba.

Mchezo huo unatarajiwa kuchezwa saa 1:00 usiku ambapo Roberto Oliveira ametambulisha jeshi lake atakaloanza nalo namna hii:-

Ally Salim

Shomari Kapombe

Mohamed Hussein

Kennedy Juma

Che Malone

Sadio Kanoute

Clatous Chama

Mzamiru Yassin

John Bocco

Saido Ntibanzokiza

Luis Miquissone