JESHI LA SINGINDA FOUNTAIN GATE DHIDI YA SIMBA HILI HAPA

AGOSTI 10 ni dakika 90 za nguvu kati ya Simba dhidi ya Singida Fountain Gate mchezo wa Ngao ya Jamii ikiwa ni hatua ya nusu fainali ya pili.

Beno Kakolanya ameanza kwa upande wa mlinda mlango ndani ya Singida Fountain Gate

Kelvin Kijili, Gadiel Michael huyu amepewa kitambaa cha unahodha, Carno, Mangalo, Kagoma, Chukwu, Abuya, Ambundo, Kazadi na Tchakei.

Uwanja wa Mkwakwani Tanga, mshindi wa mchezo anatinga hatua ya fainali na atakutana na Yanga.

Yanga ilipata ushindi Agosti 9 dhidi ya Azam FC mchezo uliochezwa Uwanja wa Mkwakwani Tanga.

Fainali inatarajiwa kuwa Agosti 13 2023.