MSANII Mkongwe Bongo Tunda Man ambaye ni shabiki wa Simba ameweka wazi kuwa kuelekea Simba Day kutakuwa na mengi mazuri hivyo mashabiki wajitokeze kwa wingi.
Yanga walifanya utambulisho wa wachezaji na benchi Uwanja wa Mkapa Singida Fountain Gate ilikuwa Uwanja wa Liti kisha Simba wao ni Uwanja wa Mkapa, Agosti 6 2023.