MZEE Muchachu shabiki wa Simba amezungumzia kuhusu mipango ya timu hiyo kwa msimu wa 2023/24 pamoja na watani zao wa jadi Yanga na beki wao wa kazi Yannick Bangala.
Bangala anatajwa kuwa kwenye mvutano na mabosi wake wa Yanga kuhusu masuala ya mkataba ambapo kandarasi yake inatarajiwa kumeguka 2024 ndani ya Yanga.