BEKI MPYA YANGA REKODI ZAKE ZIPO NAMNA HII

JULAI 11 Yanga imemtambulisha beki mpya Fred Gift ambaye anakuja kuongea nguvu katika kikosi hicho kilichotwaa ubingwa msim wa 2022/23.

Mwamba huyo kutoka Uganda ni beki mwenye rekodi nzuri akiwa ndani ya uwanja hivyo ni suala la kusubiri kipi ataonyesha ndani ya Ligi Kuu Bara msimu wa 2023/24 akiwa na uzi wa Yanga.