Kikosi cha Simba dhidi ya Ihefu mchezo wa Ligi Kuu Bara namna hii:-
Ally Salim yupo langoni
Israel Mwenda
Gadiel Michael kapewa kitambaa cha unahodha
Onyango
Kennedy Juma
Ismail Sawadogo
Pape Sakho
Mzamiru Yassin
Jean Baleke
Habib Kyombo
Kibu Dennis
Akiba ni Feruz Mwanuke,Kapama, Mkude, Bocco, Mohamed Mussa