Mdhamini Mkuu wa KMC FC inayoshiriki Ligi kuu ya NBC, Meridianbet Tanzania wameahidi kutoa Tsh 500,000/= kwa kila goli ambalo klabu hiyo itapata katika michezo ya ligi kuu iliyosalia ikiwa na lengo la kutoa motisha kwa wachezaji kupambana zaidi. Odds kubwa za soka unazipata Meridianbet Kasino ya mtandaoni, sloti, Poker, Aviator na Roulette.
Akizungumza na benchi la ufundi pamoja na wachezaji wa klabu hiyo Mkuu wa Kitengo cha Masoko na Mawasiliano Meridianbet Tanzania Bw. Matina Nkurlu, alisema kwamba lengo la zawadi hiyo ni kutoa motisha lakini pesa hizo zitatumika kutoa msaada kwa jamii. Meridianbet unaweza kubashiri mubashara, pia kuna michezo ya sloti na kasino ya mtandaoni.
“Meridianbet Tanzania tumeamua kununua kila goli mtakalofunga kwa Tsh Laki Tano kwenye michezo yenu ya Ligi Kuu iliyosalia. Lakini jambo kubwa zaidi kiasi kitakacho patikana kitatumika kurejesha kwa jamii kwa sababu KMC ni timu ya Wanakinondoni na Watanzania wote”
Kwa upande wa Nahodha wa KMC FC Emmanuel Nvuyekule ‘Manu’ alipongeza juhudi za Mdhamini wao. Beti na Meridianbet mechi za ligi zote, odds ni kubwa sana, usikose pia Kasino ya mtandaoni ya Meridianbet yenye michezo rahisi ya sloti kama Poker, Aviator, Roulette.
“Nimshukuru mwenyezi Mungu kwa kuwepo nanyi na kuzipokea taarifa hizi, lakini pia niwashukuru Meridianbet kwa kuja na wazo hili naamini hii itaongeza hamasa na kujituma kwenye timu yetu, Kubwa zaidi ni kwamba tuna muahidi mdhamini wetu kuwa tutafanya vizuri na tutafunga magoli mengi sana ili kusaidia jamii kwa wingi zaidi”
Hata hivyo mpaka sasa KMC imecheza michezo 25, na imebakiza michezo 5 mkononi kabla ya Ligi kumalizika, kwenye msimamo wanashika nafasi ya 12 wakiwa na pointi 26. Mchezo wao unaofuata ni dhidi ya Geita Gold Meridianbet wameipa mechi hii Odds kubwa na machaguo 1000+
Utaratibu wa Meridianbet Tanzania umekua ni kuhakikisha unarudisha kwenye jamii kidogo wanachokipata kwa kufanya Corporates Social Responsibility (CSR) na kupitia washirika wake ikiwemo klabu ya KMC FC. Pata Odds za soka ukiwa na Meridianbet na kasino ya mtandaoni.
NB: Meridianbet wanakurudishia x100 ya dau lako pale ambapo tiketi yako itachanika kwa mechi moja. Bonyeza hapa kufahamu kuhusu ofa hii www.meridianbet.co.tz