DAKIKA 45 za mwanzo zimekamilika Uwanja wa Manungu kwa timu zote kuvuja jasho kusaka mabao ya kuongoza.
Mtibwa Sugar 0-3 Simba unasoma ubao wa Uwanja wa Manungu kwa sasa huku mashabiki wakiwa wamejitokeza kwa wingi.
Ni Jean Baleke mshambuliaji wa Simba katupia mabao yote matatu hivyo anajihakikishia nafasi ya kusepa na mpira wake.
Huu ni mchezo wa mzunguko wa pili kwa timu hizi kukutana ndani ya msimu wa 2022/23.