MSAFARA wa nyota 24 wanaokipiga ndani ya Azam FC leo Februari 3,2023 umeanza safari kuelekea Dodoma kwa ajili ya mchezo wa Ligi Kuu Bara dhidi ya Dodoma Jiji.
Mchezo huo unatarajiwa kuchezwa Februari 4,2023 Uwanja wa Jamhuri, Dodoma na wametumia usafiri wa ndege ya Air Tanzania.
Mastaa hao ni hawa hapa:-1. Ali Ahamada
2. Iddrisu Abdulai
3. Zuberi Foba
4. Nathan Chilambo
5. Edward Manyama
6. Bruce Kangwa
7. Malickou Ndoye
8. Abdallah Kheri
9. Daniel Amoah
10. Isah Ndala
11. Sospeter Bajana
12. James Akaminko
13. Kenneth Muguna
14. Cleophace Mkandala
15. Idd Nado
16. Tepsie Evance
17. Abdul Sopu
18. Kipre Junior
19. Ayoub Lyanga
20. David Chiwalanga
21. Yahya Zayd
22. Idris Mbombo
23. Prince Dube
24. Cyprian Kachwele