JEMBE JIPYA AZAM FC HILI HAPA LATAMBULISHWA

RASMI Azam FC imemtambulisha nyota mpya katikakikosi hicho ambaye ni kipa.

Taarifa ya matajiri hao wa Dar imeeleza kuwa wameinasa saini ya nyota huyo kutoka Ghana, Abdulai Iddrisu kwa mkataba wa miaka miwili akitokea Bechem United ya kwao Ghana.

Kazi imeanza kwa mabosi hao ambao waliweka wazi kuwa usajili wao utakuwa na mtikisiko ndani ya Dar