MWANDISHI mkongwe ndani ya ardhi ya Tanzania kwenye masuala ya michezo Saleh Jembe amesema kuwa kuna jambo la kujifunza kwa Simba huku ushindi wao wa bao moja kwenye mchezo wa Ligi ya Mabingwa Afrika walitumia akili nyingi ikiwa ni maandalizi kuelekea mchezo wa ligi dhidi ya Yanga