ZAKARIA Thabit, Ofisa Habari wa Azam FC amebainisha kwamba wachezaji wana machungu aada ya kupoteza mchezo wao dhidi ya Tanzania Prisons uliochezwa Uwanja wa Sokoine, Ijumaa ya Septemba 30,2022 kwa kufungwa bao 1-0 hivyo hasira zinakwenda kwenye mchezo dhidi ya Singida Big Stars