HAYA hapa mabadiliko ya ratiba ya mechi za Ligi Kuu Bara msimu wa 2022/23
Mchezo nambari 35 Kati ya KMC FC dhidi ya Mtibwa Sugar FC uliopangwa kuchezwa Septemba 27, 2022 saa 10:00 jioni, Uwanja wa Uhuru, Dar, utachezwa Octoba 15, 2022.
Mchezo nambari 33 Kati ya Ruvu Shooting FC dhidi ya Coastal Union FC
uliopangwa kuchezwa Septemba 26, 2022 saa 10:00 jioni, Uwanja wa Uhuru ni Septemba 29, 2022.
Mchezo nambari 34 Kati ya Polisi Tanzania FC dhidi ya Namungo FC uliopangwa kuchezwa Septemba 27, 2022 saa 8:00, Uwanja wa Ushirika, sasa utachezwa Octoba 19, 2022 saa 10:00, Uwanja wa Sheikh Amri Abed uliopo Jijini Arusha.
Mchezo nambari 38 Kati ya Ihefu SC dhidi ya Young Africans SC uliopangwa
kuchezwa Septemba 29, 2022 saa 10:00 alasiri katika Uwanja wa Highland Estate, Mbeya, sasa utachezwa Novemba 29, 2022.
Mchezo nambari 36 Kati ya Kagera Sugar FC dhidi ya Singida Big Stars FC uliopangwa kuchezwa Septemba 28, 2022 saa 8:00 mchana, Uwanja wa CCM Kirumba, sasa utachezwa Octoba 21, 2022 saa 10:00, Kaitaba.
Mchezo nambari 37 Kati ya Mbeya City FC dhidi ya Simba SC uliopangwa
kuchezwa Septemba 28, 2022 saa 10:00 jioni, Uwanja wa Sokoine uliopo Mbeya, sasa utachezwa November 23, 2022 saa 10:00.