VIDEO:NABI ATAJA MAKOSA YA WACHEZAJI WAKE, JOB, DJUMA

KOCHA Mkuu wa Yanga, Nasreddine Nabi leo ana kiarua cha kukiongoza kikosi hicho kwenye mchezo wa Ligi ya Mabingwa dhidi ya Zala FC akiwa ametoka kulaimisha sare ya kufungana mabao 2-2 dhidi ya Azam FC kwenye mchezo wa ligi ambapo alibainisha kuwa wachezaji wake walifanya makosa na Dickoson Job alicheza nafasi ambayo haikuwa yake pamoja na kuumwa kwa Djuma Shaban ambaye alianzia benchi