TAZAMA namna Simba Queens walivyotwaa ubingwa mwanzo mwisho Uwanja wa Azam Complex, Agosti 27 kwa ushindi wa bao 1-0 dhidi ya She Corprote kwenye mchezo wa Fainali ya Ligi ya Mabingwa Afrika, ukanda wa CECAFA
VIDEO: JIONEE NAMNA SIMBA QUEENS WALIVYOTWAA UBINGWA
