Mechi ya Kisasi! Ukraine na Sweden Kukutana Kufuzu WC 2026
Usiku wa leo macho ya mashabiki wa soka yataelekezwa kwenye dimba la Estadi Ciutat De Valencia, ambapo timu ya taifa ya Ukraine itakuwa mwenyeji wa Sweden katika mchezo wa hatua ya mtoano wa kufuzu WC 2026, ambapo kwenye mechi hii unaweza kujizolea maokoto na Meridianbet. Mchezo huu umepewa jina la “kisasi” kutokana na kumbukumbu…