Mohamed Salah Atangaza Kuondoka Liverpool Bure Mwisho wa Msimu

Mshambuliaji nyota wa Mohamed Salah ametangaza rasmi kuwa ataondoka ndani ya klabu ya Liverpool mwishoni mwa msimu huu, akihitimisha safari ya kihistoria ya miaka tisa ndani ya Anfield. Salah, mwenye umri wa miaka 33, ameondoka akiwa mchezaji huru (free transfer), jambo ambalo limewashtua mashabiki wengi wa soka duniani. Kupitia video ya kihisia aliyochapisha mtandaoni, Salah…

Read More

Yanga Soccer School na EMWANI waja na mashindano bab kubwa

Yanga SC na Kampuni ya EMWANI wameandaa mashindano yatakayofanyika 28/03/2026 kituo cha TFF Kigamboni.  Ali Kamwe, Meneja wa Idara ya Habari amesema huo ni muitikio wa Watanzania katika mradi Yanga Soccer School na mshindi wa kwanza atapata milioni 3, mshindi wa pili milioni moja na watakaoishia nusu faiinali watapata laki 5. “Mradi wetu wa Yanga Soccer…

Read More

Shinda Samsung A26 Leo Jumatano kwa Kubashiri Rahisi Kupitia *149*10#

Bila Intanenti ni rahisi kabisa kuingia kwenye kinyang’anyiro cha kushindania Samsung A26 na Meridianbet leo. Jumatano ya Zawadi ipo kwaajili yako siku ya leo inaweza kukupa furaha sana. Jumatano hii haifanani na nyingine yoyote. Ni siku ambayo Meridianbet inawasha moto wa bahati kwa njia ambayo haijawahi kutokea. Kwa mara nyingine tena, wateja wote wanaopenda kubashiri…

Read More

Dau Lako Dogo Linageuka Mamilioni Ukicheza Vaso Psycho

Sasa ni rasmi, Vaso Psycho kutoka Expanse imewasili ndani ya Meridianbet, na tayari imeanza kubadilisha namna wachezaji wanavyoiona kasino mtandaoni. Huu ni mchezo unaokupa zaidi ya burudani; unakupa nafasi ya kuandika historia yako ya ushindi kwa kila mzunguko unaoucheza. Kitu cha kwanza utakachogundua ni jinsi kila raundi ilivyo tofauti. Hakuna kubahatisha kwa mazoea hapa, mfumo…

Read More