Wembley Kuwaka Moto: Arsenal na Manchester City Kugombea Kombe la Carabao

Leo hii Dunia inaenda kushuhudia bingwa ambaye ataondoka na Kombe la EFL au Carabao kama ambavyo wengi tumezoea. Ni Arsenal au Manchester City kunyanyua kwapa leo?

Mechi hii itapigwa pale Wembely majira ya saa 1:30 kwa saa za Afrika Mashariki huku watu wengi wakiaamini kuwa City chini ya Pep Guardiola wanaenda kupoteza mchezo huu kutokana na kukosa uimara kwenye michuano yote msimu huu.

Wakati huo huo mashabiki wa pande zote mbili watakuwa wakitambiana kuwa wao ndio wanaweza kubeba Kombe hilo lakini kwa upande wa Meridianbet wao wameoa wampe nafasi Arsenal ya kuondoka bingwa kwenye dakika 90 za mchezo. Je wewe beti yako unaiweka kwa nani siku ya leo?.

Manchester City, wao waliotawala mashindano ya ndani kwa miaka kadhaa, wanakuja kwenye fainali wakiwa na nidhamu ya juu na wanahitaji Kombe hili kwa hali na mali hasa baada ya kukosa matumaini ya kubeba taji la EPL, Lakini pia wameondolewa kwenye michuano ya UEFA.

Ingia kwenye kasi ya kujishindia pesa kwenye michezo ya Kasino ya Mtandaoni kama vile, Keno, Aviator, Poker, Roulette, Wild Icy Fruits, Super Heli na mingine kibao. Jiunge leo kwa kutembelea tovuti ya meridianbet.co.tz au piga *149*10# kisha uanze safari yako ya ushindi.

Vijana hawa wa Pep Guardiola hadi sasa wapo nafasi ya 2 kwenye msimamo wa ligi baada ya kukusanya pointi zao 61 kwenye msimamo wa ligi, wakiachwa nyuma pointi 9 na vinara wa ligi Arsenal.

Licha ya kufanya usajili wa wachezaji wazuri msimu huu akiwemo Antonio Semenyo, Cherki, Reijnders, Khusanova, Nouir na wengine ambao wamekuja ili kusaidiana na kina Foden kuhakikisha wanaendelea kutawala ligi kuu ya ndani pamoja na kukusanya mataji.

Takwimu zinaonesha kuwa kwenye mechi 10 za mwisho walizokutana Arsenal na Man City, City wamechukua ushindi mara 6, huku The Gunners wao wakishinda mara 2 pekee na kutoa sare 2 pia.

Kwa upande wa Arsenal imeonyesha fomu nzuri msimu huu, ikiwa katika nafasi ya juu kwenye Ligi Kuu ya Uingereza na ikielekea kushinda mataji ya ndani ya ligi. Wana wachezaji wazuiri sana msimu huu akiwemo Saka, Gyokeres, Martineli, Gabriel Magalhães, Zubimendi na wengine wengi ambao wanaipambania timu chini ya kocha mkuu Arteta.

Arsenal imekuwa ni timu hatari sana hasa kwemye mipira iliyokufa kwani asilimia kubwa ya mabao yao msimu huu yanataokana na mipira hiyo, yaani mipira ya kona mara nyingi, hivyo timu pinzani inapokutana na klabu hiyo ya London hujihami sana kwa mipira hiyo.

The Gunners kutoka na ubora ambao wameendelea kuwa nao msimu huu sasa wamefanikiwa kutinga hatua ya Robo Fainali ya Ligi ya Mabingwa Ulaya ambapo watamenyana dhidi ya Sporting CP kutoka kule Ureno.

Pale Meridianbet nafasi kubwa ya kuondoka na Kombe hili anapewa Arsenal mbele ya Guardiola. Lakini kwa upande wako wewe unaweza ukatusua kwa kufanya ubashiri mechi hii. Jisajili sasa.

Hivyo basi mechi hii inaenda kuwa pambano la akili, kasi, na mbinu za kimkakati.  Arsenal  wanahitaji kutumia nguvu zao za mashambulio na kasi ya wachezaji wa mbele, huku City wakijaribu kudhibiti mpira na kutumia uzoefu wa mashindano ya taji. Ushindi utategemea ni timu gani itakayoweza kudhibiti mtindo wa mwenzake, kudumisha nidhamu, na kutumia kila fursa ndogo.

Hakika, fainali hii ya Carabao Cup itakuwa mechi ya kusisimua yenye ushindani mkubwa na burudani ya kiwango cha juu, na mashabiki wote wataitazama kwa hamu kubwa.