HT: Mtibwa Sugar 0-1 Yanga SC

Mtibwa Sugar 0-1 Yanga SC

NBC Premier League

Machi 21,2026

Mtibwa Sugar 0-1 Yanga SC ubao wa Uwanja wa Jamhuri, Dodoma unasoma namna hiyo kwa sasa.

Goli la ufunguzi kwa Yanga SC limefungwa dakika ya 23 ya mchezo huo kupitia kiungo Pacome Zouzoua.

Ndani ya dakika 45, Yanga SC wamepiga jumla ya mashuti mawili ambayo yamelenga lango huku Mtibwa Sugar wakipiga shuti moja ambalo halijalenga lango.

***

Imeandikwa na Lunyamadzo Mlyuka, Mtunzi kitabu cha Ganzi ya Maumivu Kwenye Upendo na Moyo Wangu Unavuja Damu.  Kuvipata TUNAOMBA ODA 0756 028 371.

Ganzi ya Maumivu Kwenye Upendo ni simulizi inayozungumzia maisha ya Kiafrika, usaliti, visa, furaha. Wakazi wa Njombe kitabu kinapatikana Mtaa wa Mpechi kwa Chris Jabari, Kigamboni kwa Tupokigwe, Posta karibu na Mnara wa Askari ukiwa unaelekea chuo cha IFM. Kuna kazi mpya inaandaliwa inaitwa Msichana wa Maisha Yangu, jiandae kuipata.